wachezaji wa barcelona wakishangilia bao a kwanza alilofunga Neymar
NYOTA
Mbrazil wa Barcelona, Neymar amekuwa na mwanzo mzuri katika mechi ya
wapinzani wa jadi wa Hispania, 'El Clasico' baada ya kufunga bao katika
ushindi wa 2-1 dhidi ya Real Madrid leo.
Mambo yamekuwa tofauti kwa mchezaji ghali wa dunia, Gareth Bale ambaye alishindwa kuisaidia timu yake, Real Uwanja wa Nou Camp.
Bale
alicheza kwa saa moja tu kabla ya kutolewa nje kipindi cha pili, ingawa
alipambana sana na kufanikiwa kupiga mashuti kadhaa yaliyotoka nje ya
lango la Victor Valdes.
Neymar alifunga dakika ya 19 na Alexis akaongeza la pili dakik ya 78, kabla ya Jese kuisawazishia Rela dakika ya 90.
kipa wa Real Madid akiluka bila mafanikio na kufungwa bao la pili na Sanchez
Kikosi
cha Barcelona: Valdés, Alves, Piqué, Mascherano, Adriano, Sergio
Busquets, Xavi, Iniesta/Song dk77), Fàbregas/Alexis dk 70, Messi na
Neymar/Pedro dk84.
Real
Madrid: Diego López, Carvajal, Varane, Pepe, Marcelo,
Ramos/Illarramendi dk56), Modric, Khedira, Di Maria/Jese dk76), Ronaldo,
Bale/Benzema dk61.
Cristiano ronaldo akilaumu jambo wakati wa mchezo
Gareth Bale akitafuta mbinu ya umtoka beki wa Barcelona Pique
Ronaldo na Bale wakishauriana jambo kabla ya kupiga faulo
makocha wa timu zote mbili wakifuatilia mcheo
messi akimtoka ronaldo jana wakati wa mchezo
Rodroguez baada ya kuifungia madrid goli na kwanza
No comments:
Post a Comment