Beki wa timu aya QPR ya ligi kuu ya England na beki wa zamani wa timu ya man united Rio Ferdinand anaamini kwamba mchezajin machachari wa timu yake hiyo ya zamani Angel Di Maria atafanya vizuri katika siku zijazo.
Hayo ameyase,ma jana baada ya kuulozwa kuhusu mustakbali wa timu hiyo vihi sasa hasa baada ya kutolewa na vibonde vyao Arsenal katika kombe la FA. Amesema kwamba Di Maria ni mchewzaji mzuri na wa kiwango cha dunia kwa sasa kwahiyo hawezi kumuondoa katika mategemeo ya timu hiyo kwa sasa na anaamini kwa atakuwa mchezaji bora katika siku zijazo.