Thursday, February 21, 2013

AC MILAN YAINYUKA BARCELONA

Ac milan jana iliitoa udenda mabingwa wa hispania baada ya kuitandika bao mbili bila majibu kati mchezo wa raundi ya 16 katika kombe la uefa champions leage uliofanyia kwenye uwanja wa san siro jijini milan italia. walikuwa ni waafrika wawili kutoka raia wa ghana ndio waliopeleka simanzi pale catalunya, alianza kelvin prince boateng na baadae sulei muntari katika dakika tofauti.

SIMBA KUMLIPA MILOVAN LEO

Timu ya soka ya simba leo inamlipa mshahara wake wote uliobaki kwa kocha aliefungashiwa virago mserbia milovan cirkovic baada ya muda mrefu. kwa mujibu wa mfadhili mpya wa timu hiyo malkia kuoka uarabuni alisea anatia aibu kwaclub kubwa kama simba ina muajili kocha kutoka nje na ina shindwa mpatia mshahara wake wote kwa muda muafaka.

SIMBA YAIADABISHA WAJELAJELA(PRISONS)

mabingwa wa soka nchini simba sc wamepata ushindi baada ya kuichabanga timu ya wajelajela bao moja kwa bila lililofungwa na mchezji mwenye kiwango cha juu mtaalm amri kiemba katika dakika ya 76 simba walionesha kandanda safi nala ku sisimua kwa kutumia wachezaji wake mahiri akiwemo mwintyi kazimoto (ball dancer) licha ya kuwa ugenini na kuwa na presha kubwa kutoka kwa washabibiki wa prisons kuizomea simba kila mara.

Saturday, February 2, 2013

TAIFA STARS VS CAMEROON -VIKOSI

mchezo wa fifa day taifa stars dhidi ya cameroon utakao fanyika feb 6 utakuwa na kima cha chini cha kiingilio kwa shilingi 5000 tu, hapo chini ni vikosi vya nhi zote .

Tanzania Cameroon
Juma Kaseja Samuel Et’oo
Mwadini Ally Charles Itandje,
Aishi Manula Benoit Assou Ekoto
Erasto Nyoni Jehu Rustand Youthe (Union Douala)
Nassoro Cholo Fabrice Olinga Essono
Aggrey Morris Allam Nyam
Nadir Haroub Bouba Aminou
Kelvin Yondani  Benoit Angwa
Shomari Kapombe Herve Tchami
Issa Rashid Henri Bedimo
Amri Kiemba Nicolas Nkoulou
Simon Msuva Jean Makoun
Frank Domayo Jean Kana Biyick
Shabani Nditi Joel Matip
Salum Abubakar Vincent Aboubakar
Khamis Mcha Alexandre Song
Athuman Idd Landre Nguemo
Mwinyi Kazimoto Pierre Wome
Mrisho Ngasa Jean Nyontcha
Mbwana Samata Achille Emana
Thomas Ulimwengu Charles Eloundou

BALOTELLI ARUDI ITALY

Mchezaja mtukutu mario balloteli ameamua kurudi kwao itali baada ya kuchoka maisha ndani ya jiji la manchester na kutinkia ac milani.

MAN UTD YAIFUNGIA KAZI MADRID

Mashetani wekundu wa old traford wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo wa kombe la mabingwa ulaya dhidi ya real madrid hapo feb 13, hayo yamesemwa na kocha wa timu hiyo jana baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya soton na pamoja kuhakikisha wana shinda kila mchezo mbele yao