Wednesday, December 5, 2012
RAFA BENITEZ KIBARUANI TENA LEO
kocha Rafa benitez leo tena huenda akawa katika wakati mgumu wakati timu yake iktupa karata yake ya mwisho katika usiku wa ulaya leo.hadi sasa kocha huyo alieshika mikoba ya Di matteo hajashinda hata mchezo mmoja katika michezo mitatu nakusuluhu miwili na kupoteza mmoja,kwa mujibu wa mmiliki wa timu hiyo Roman abramovic ,kama benitez akishindwa kuisogeza mbele kwenye michuano hio ni rahisi sana kuondolewa katika kikosi hicho.
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment