Timu ya taifa ya tanzania tayari wako tayari kwa kuikabili uganda kwao kwenye mchezo wa marurudiano itakayo tao timu moja kwenda kushiriki michuano ya chan hapo mwakani afrika kusini .akizungumza na waandishi wa habari kocha wa timu hiyo kim polsen amesema kwamba timu yake leo ni kushambulia mwanzo mwisho ili kuhakikisha wanashinda mchezo huwo, kwani tayari stars iko nyuma kwa goli moja toka mchezo uliopita kwa hiyo lazima ishinde
No comments:
Post a Comment