Kocha wa barcelona mortino jamesema kwamba usajili wa gareth bale kuhusishwa kwenda real madrid ni kuidhalilisha tamani ya fedha.
Hayo aliyazungumza jana kwenye press conference kwamba hii inaonesha ni jinsi gani fedha inadhalilishwa na haina thamani kwani kiasi cha euro millioni 100 ni kikubwa sana kwa mchezaji mmoja na kuvunja rekodi ya dunia ya usajili. lakini alisema gareth bale ni mchezaji mkubwa na kila timu inamuhitaji kufanya nae kazi.
Kwa upande mwingine aliongeza kusema kwamba si jambo la kushangaza kwa real madrd kufanya usajili kwa kuvunja rekodi ya dunia kwani wameshafanya hivyo baada ya kumsajili star wao wa sasa cristiano ronaldo kwa euro millioni 94 mwaka 2009 aitokea manchester united.
Kwa mujibu wa wakazi wa jiji la madrid kunaataarifa kwamba bale tayari aneshaingia jijini hapo ili kukamilisha dili hilo kwa kisaini na alionekana kwenye gari karibu kabisa na ronaldo.
gareth bale ndani ya jiji la madrid ndani ya gari akiwa katika pozi moja na cr7
No comments:
Post a Comment