Sunday, August 18, 2013

PICHA TOFAUTI MECHI KATI YA YANGA NA AZAM JANA KWENYE MECHI YA NGAO YA HISANI, YANGA WALISHINDA 1-0

Washabiki wa yanga wakiishangilia timu yao
Nadir haroub cannavaro akipokea zawadi ya ngao ya hisani kutoka kwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam
kipa wa azam akiwapanga mabeki wake waati wa mchezo
 cannavaro akikutana uso kwa uso na mwamuzi msaidizi baadaya kutoridhishwa na maamuzi yake
dider kavumbagu na david mwantika wa azam
kipa wa yanga deogratius munishi na didier kavumbagu wakiishaka zawadi baada ya kishinda mchezo wao dhidi ya azam

No comments:

Post a Comment