Kocha wa timu ya manchester united David Moyes amesema kwamba mshambuliaji wake hatari na ni namba moja kwa kupachika mabao Robon Van Persie yuko tayari kuikabiri timu ya West Bromwich Albion kesho kwenye ligi kuu nchini humo.
Mchezo huo utakaofanyika katika dimba la nyumbani la old trafford katika mishale ya saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika mashariki
Kwa mujibu wa kocha huyo ni kwa mba mchezaji huyo yuko tayari kwa mchezo huwo baada ya kupona jeraha alilopata wiki moja iliyopita na kumfanya aikose mechi ya upinzani dhidi ya manchester city ambapo united walifungwa 4-1.
Moyes aliendelea kusema kamba bado mchezaji mmoja tu ambaye ni majeruhi ambae ni kiungo Tom Cleverly na kwa sababu hiyo ataikosa mechi hiyo ambayo ni muhimu kwa yunited kushinda

No comments:
Post a Comment