Kocha aliyetwaa kombe la ligi ya mabingwa ulaya Robato Di Matteo na timu ya chelsea mwaka 2012 huwenda akachukua mikoba ya di canio ndani ya sunderland.
Akizungumza na waandishi wa habari katika press conference kiongozi mkuu wa sunderland amesema kwamba jicho lao la kwanza ni kufikiria kumwambia di matteo kuja kuchukuwa mikoba ya di canio baada ya kuanza vibaya ligi kuu ya uingereza.
Timu hiyo ndio inayoshika nafasi ya mwisho ikiwa imefungwa zote na kutoka sare mchezo mmoja tu na haijshinda hata mchezo mmoja.
Uongozi wa timu hiyo unafikiria kumshawishi kocha huyo mzoefu mwenye historia nzuri na clabu ya chelsea kwa kuwa wakwanza kuipa ubingwa wa mabingwa ulaya tangu ilipoanzishwa timu hiyo licha ya timu hiyo kupitiwa na makocha wakubwa duniani .

No comments:
Post a Comment