Wednesday, September 18, 2013

ROBIN VAN PERSIE NA NDOTO ZA KUKAA MUDA MREFU MANCHESTER UNITED

Kutokana na ushindi dhidi ya bayern 04 ya ujerumani jana usiku katika ligi ya mabingwa ulaya mshambuliaji hatari wa manchester united robin van persie amesema anatarajia kukaa kwa muda mrefu zaid katika timu hiyo.

Hay amesema baada ya kumalizika mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa old traford baada ya kuulizwa na waandishi wa habari kuhusiana na matarajio yake ndani ya timu hiyo.

Van persie amebainisha kwamba anafuraha sana kuwa katika timu hiyo  wa kipindi chote na kusema kwamba angalau amebakiza miaka 3 ndani ya timu hiyo lakini anafikiria zaidi kuongeza mkataba na mashetani hao.

Va persie ni miongobi mwa wafungaji wa magoli ya manchester united jana usiku kwani alifunga goli la pili baada ya rooney kutangulia kuifungia timu hiyo.

No comments:

Post a Comment