Mshambuliaji wa real madrid na timu ya taifa ya ureno jana alifanikiwa kufunga magili matatu katika mchezo uliowakutanisha wao na ireland ya kaskaxini katika mchezo wa kugombania nafasi ya kushiriki kombe la dunia mwakani.
Mchezaji huyo alifunga magili hayo katika kipindi cha pili cha mchezo huwo na kufanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na eusebio.
Baada ya kufunga magili hayo tayari amesha fikiska magoli 43 na kuvunja rekodi ya eusebio ndani ya taifda hilo na kushika nafasi ya pili huku akibakisha rekodi moja ya pauleta aliyepachika mabao 47 ndani ya timu hiyo.
Jana ureno ilitoka na ushindi wa 4-2 dhidi ya ireland ya kaskazini.

No comments:
Post a Comment