Friday, October 11, 2013

ALLEN KURUDI DHIDI YA NEWCASTLE

Kiungo wa liverpool Joe Allen anatarajiwa kurudi uwanjani baada ya kupona majeraha yake ambayo yamemueka nje kwa muda mrefu sasa.

Kiungo huyo mkabaji kutoka uingereza anatarajiwa kurudi katika mechi ya ligi kuu ya uingereza dhidi ya newcastle juma lijalo ili kuja kuimarisha safu ya kiungo ya timu hiyo.

No comments:

Post a Comment