Julias nyaisanga katikati enzi za uhai wake
Mtangazaji huyo aliwahi kutangaza katika redio station tofauti hapa nchini zikiwemo Redio One na Radio Tanzania Dar es salaam (RTD) katika kipindi cha uhai wake.
Taarifa kutoka kwa ndugu wa karibu wa marehemu zinasema kwamba marehemu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la shinikizo la damu na kisukari hadi mauti yalipomfikia.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahalipema peponi amin.
No comments:
Post a Comment