Kiungo mahiri wa timu ya taifa ya ujerumani na timu ya bayern leverkusen Las Bender hatimaye amesaini mkataba mpya wa kuitumukia timu yake.
Nyota huyo mwenye miaka 24 ameingia mkataba mpya na timu yake ambao utamfikisha hadi mwaka 2019 katika kuitumikia timu hiyo.
Bender ambaye yupo katika rada za kocha wa Arsenal, Wenger alikuwa na mkataba na timu hiyo hadi mwaka 2017 na sasa ameongeza miaka miwili baadaye.

No comments:
Post a Comment