MABAO
ya Azpilicueta dakika ya 25 na Juan Mata dakika ya 66, jana usiku
yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal Uwanja wa Emirates,
London katika mchezo wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One.
KIkosi
cha Chelsea kilikuwa: Schwarzer, Azpilicueta, Bertrand, Mikel, Cahill,
David Luiz, De Bruyne/Ramires dk69, Essien, Eto'o/Ba dk81, Mata/Kalas
dk90 na Willian.
Arsenal:
Fabianski, Jenkinson, Monreal, Ramsey, Koscielny, Vermaelen,
Miyaichi/Ozil dk63, Wilshere, Bendtner/Giroud dk67, Rosicky na Cazorla.
Jua Mata akiifungia goli timu yake
Azplicueta akishangilia goli lake dhidi ya Arsenal
Wachezaji wa Arsenal akiwemo Ozil katikati wakitoka uwanjani baada ya mechi

J

No comments:
Post a Comment