Thursday, November 7, 2013

HODSON AMTETEA HART

Kocha wa timu ya taifa ya Englannd Roy Hodson amemtetea kipa wake nambar ndio i moja  Joe Hart  kwamba ni mzuri na anajitahidi kwa kuwa  yeye ni kipa nambari moja katika kikosi cha timu hiyo ya taifa.

Hii imekuja baada ya kipa huyo kukaa nje mechi mbili  na kuleta sitofahamu na anatarajiwa kuelekea kushuka kiwango chake  na washabiki wakiuliza kuhusiana na kiwango cha nyota huyo na kusisitizia kwamba Hart ni bado ni  nambari 1 katika kikosi changukatikatimu nya taifa licha ya kuwekwa bechi na kocha wa timu yake.

No comments:

Post a Comment