Monday, December 2, 2013

KASEJA AANZA MAZOEZI YANGA USO KWA USO NA BARTEZ

Kipa nambari moja nchini juma kaseja hatimaye ameanza rasi mazoezi na timu yake mpya Yanga leo asubuhi katika uwanja wa kijitonyama.

Kipa huyo alikuwa katika hali nzuri ambayo ilipelekea mazoezi hayo kuwa na ushindani wa hali ya juu na kipa mwenzake Ally Mustafa 

Kocha wa makipa wa timu hiyo mkenya Razak Siwa amesema kwamba timu hiyo sasa ipo katika hli nzuri kwa upande wa kulinda mlango hasa baada ya kuwasili kipa huyo na imeamsha changamoto katika secta hiyo

No comments:

Post a Comment