NAHODHA
wa zamani wa England, David Beckham jana aliwafunika wenzake watano
katika pati la uzinduzi wa filamu maalum iitwayo The Class of '92
inayohusu wachezaji sita wa zamani wa manchester Unitred.
Filamu
hiyo ya Kiingereza inawahusu magwiji wa Manchester United: Beckham,
Nicky Butt, Ryan Giggs, Gary Neville, Phil Neville na Paul Scholes.
Mke
wa nyota huyo wa zamani wa Real Madrid ya Hispania, Victoria na watoto
wake watatu wa kiume, Brooklyn, Cruz na Romeo waliungana nao na baba yao
katika zulia jekundu mjini London.
The
Class of 92: Kutoka kushoto Paul Scholes, Phil Neville, Ryan Giggs,
Nicky Butt, David Beckham na Gary Neville wakiwa katika uzinduzi wa
filamu hiyo ukumbi wa Leicester Square, London

Mtu
wa familia: Beckham akiwa na vidume vyake, Brooklyn (nyuma katikati),
Romeo (kushoto), Cruz (kulia) na mkewe Victoria katika zulia jekundu

Beckham akisaini autographs za mashabiki

Scholes (kulia) na familia yake

Giggs akipozi kwa ajili ya picha, siku mbili tangu asherehekee kutimiza miaka 40 ya kuzaliwa

Pamoja tena: The Class of '92 inaelezea historia ya Beckham, Butt, Scholes, Giggs na akina Neville ndani ya Manchester United

Kiungo wa zamani wa United, Butt na familia yake

Mwimbaji Harry Styles (kulia) akiwa na Beckham

Phil Neville, mkewe Julie na watoto wao, Harvey na Isabella

Nahodha wa zamani wa Arsenal, Tony Adams na mpenzi wake Poppy Teacher walikuwepo pia
No comments:
Post a Comment