Kocha wa Tottenham Hotspurs Andres Vallas Boas hatimaye ametimuliwa rasmi kuifundisha timu hiyo baada ya kipigo cha jana dhidi ya Liverpool.
Timu hiyo imekuwa na matokeo mabovu kwa kipindi kirefu sasa baada ligi kuanz na kupelekea kufungwa magoli mengi katika kipindi kifupi.
Mkurugenzi mkuu wa timu hiyo Dany Levy amethibitisha hayo baada ya mechi hiyo kuisha na hadi sasa bado haijulikani atakayekuja kurithi mikoba hiyo.

No comments:
Post a Comment