Monday, December 10, 2012

MANCHESTER UTD YAFANYA KUFURU MWAKA HUU

Manchester united jana iliivurumisha man city baada ya kushinda 3-2 ktk uwanja wa etihad stedium. magoli ya the red devils yalifungwa na rooney aliefunga mawili na moja la ushindi likifungwa na van persie, wakati yaya toure na zabaleta kwa upande wa man city

No comments:

Post a Comment