Timu ya soka ya simba leo alfajir wamekwea pipia na baadhi ya wachezaji wake mahiri ukiondoa wachezaji waliokwenda timu ya taifa na wale waliobakia kwa ajili ya michuano ya mapinduzi.Akizungumza na waandishi wa habari hapo jana jioni msemaji wa timu hiyo Ezekiel kamwaga timu hiyo itaondoka huku wachezaji wake muhimu kama Haruna moshi,mwinyi kazimoto,mrisho ngassa,shomari kapombe,juma kaseja hawataondoka leo kwasababu ya kwamba baadhi wamejiunga na timu ya taifa.na boban akibakia na timu kwea ajili ya michuano ya muungano.
Wednesday, January 9, 2013
RICARDO QUARESMA AENDA AL AHLI
Kiungo wa kimataifa wa ureno ricardo quaresma amekamilisha dili la kwenda kitika club bingwa ya oman al ahli kwa mkataba wa miezi18. kiungu huyo ameenda al ahli akitokea besiktas ya uturuki.
Tuesday, January 8, 2013
STURRIDGE AANZA KAZI LIVERPOOL
Mshambuliaji mpya wa liverpool daniel sturridge hatimae aanza kazi ya kutupia baada ya kujiunga na majogoo wa jiji la liverpool katika ushindi wa bao mbili kwa moja katika mchezo wa kombe la FA hatua ya mtoano raund ya 3
DEMBA BA ANZA KUMUONYESHA TORRES
Ibrahim demba ba hatimae aanza kumuonyesha fernando torres jinsi magori yanavyo fungwa baada ya kutupia 2 katika mchezo wake wa kwanza dhid ya southampton.
NIGERIA WAMUACHA ODEMWINGE
Kocha timu ya taifa nigeria steven kesh amemuacha peter ogemwinge katika kikosi chake kitakachoenda kushiriki michuano ya AFCON nchini afrika kusini.
Subscribe to:
Posts (Atom)