Wednesday, January 9, 2013

SIMBA SC WAENDA OMAN

Timu ya soka ya simba leo alfajir wamekwea pipia na baadhi ya wachezaji wake mahiri ukiondoa wachezaji waliokwenda timu ya taifa na wale waliobakia kwa ajili ya michuano ya mapinduzi.Akizungumza na waandishi wa habari hapo jana jioni msemaji wa timu hiyo Ezekiel kamwaga timu hiyo itaondoka huku wachezaji wake muhimu kama Haruna moshi,mwinyi kazimoto,mrisho ngassa,shomari kapombe,juma kaseja hawataondoka leo kwasababu ya kwamba baadhi wamejiunga na timu ya taifa.na boban akibakia na timu kwea ajili ya michuano ya muungano.

No comments:

Post a Comment