Thursday, February 21, 2013

AC MILAN YAINYUKA BARCELONA

Ac milan jana iliitoa udenda mabingwa wa hispania baada ya kuitandika bao mbili bila majibu kati mchezo wa raundi ya 16 katika kombe la uefa champions leage uliofanyia kwenye uwanja wa san siro jijini milan italia. walikuwa ni waafrika wawili kutoka raia wa ghana ndio waliopeleka simanzi pale catalunya, alianza kelvin prince boateng na baadae sulei muntari katika dakika tofauti.

No comments:

Post a Comment