Saturday, February 2, 2013

MAN UTD YAIFUNGIA KAZI MADRID

Mashetani wekundu wa old traford wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo wa kombe la mabingwa ulaya dhidi ya real madrid hapo feb 13, hayo yamesemwa na kocha wa timu hiyo jana baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya soton na pamoja kuhakikisha wana shinda kila mchezo mbele yao

No comments:

Post a Comment