Wednesday, July 17, 2013

CAVANI ASAINI PSG THE BLUES WAMKOSA

Mshambuliaji matata kutoka bara la kusini mwa america nchi ya uruguay Edinson Cavani hatimaye ameshusha wino wake katika club ya paris-saint germain  kwa kitita cha euro million 64 na kuaacha chelsea wakimkosa atriker huyo. akizungumza na waandishi wa habari rais wa cub hiyo amesema wanafurahi san na usajiri huo ambao uta waeka pazuri katika mashindano ya eufa champions legue.

No comments:

Post a Comment