Wednesday, July 17, 2013

HATIMAYE KELVIN STROOTMAN ASAINI AS ROMA

Kiungo mahiri wa psv endhoven strootman ameipotezea mashetani wekundu manchester united na hatimae kumwaga wino AS ROMA ya italia . Man united wanampoteza mchezaji wapili mfululizo baada ya kumwachia thiago alcantara  kwenda bayern munih.

No comments:

Post a Comment