Mshambuliaji wa psg ya ufaransa zlatan ibrahimoic amesema haoni sababu ya yeye kuondoka clubuni hapo licha ya watu kusema kwamba anaweza kuondoka utokana na nafasi yake kuwa finyu sababu ya kuwasili edinson cavanni ndani ya club hiyo. abrahimovic amesema"sioni sababu yeyote ya mimi kuiacha psg kwani ninafuraha sana kwa ujio wa cavanni na natumaini tutatengeneza mfumo ambao utakuwa na mafanikio clubuni"
No comments:
Post a Comment