Tuesday, July 23, 2013

MOYES ANAANDA OFA YA TATU YA EURO 41 KWA BARCELONA KUMTWAA FABREGAS

Manchester united kupitia kwa  kocha wake david moyes imeandaa euro million 41 kama ofa ya tatu ili waweze kupata saini ya nyota nyota wa barcelona cesc fabregas.hii imekuja baada ya barcelna kukataa kabisa na kusema fabrigas hauzwi baada ya kupeleka ofa mara mbili .
Wakati huohuo wachezaji nyota wa barcelona andres iniesta na gerrad pique wamesema kwamba wanaimani fabrigas atabaki barcelona wa misimu ijayona hawezi kuondika kwakuwa miaka miwili nyuma alirudi kwao kutoka arsenal na manchester wanapoteza muda kumuwinda kiungo huyo

No comments:

Post a Comment