Thursday, July 25, 2013

MOYES: MAKUBALIANO KATI YA BARCELONA NA MAN UNITED YANAENDELEA

kocha wa mashetani wekundu david moyes amesema kwamba maelewano kati yao na barcelona bado yanaendelea baada ya dili ya pili kukataliwa sasa wanampango wa kuongeza ili waweze kupata saini ya kiungo wa barcelona cesc faregas.vilevile moyes amesema kwamba van persie hajaumia sana na inawezekana akarudi wiki ijayo kwa mujibu wa docta baada ya mshambuliaji huyo kupata jeraha katika mechi iliopita ya kirafiki dhidi ya yokohama f'marinos.

No comments:

Post a Comment