Saturday, July 20, 2013

PSG WAKAMILISHA DILI LA MBRAZIL MARQUINHOS

Beki kinda kutoka brazil na timu ya AS ROMA marquinho hatimaye amekamilsha uhamisho wake wa kuhamia psg ya ufaransa kwa ada ya euro million 35. kinda huyo mwenye miaka 19 alikuwa gumzo katika usajili baada ya kutakiwa na club kubwa kama vile man united, man city arsenal na nyinginezo.

No comments:

Post a Comment