Kocharpool mkuu wa livepool branden rodgers amethibitisha kwamba kipa wake nambari moja jose pepe reina anatakiwa na club ya napoli ya italia kwa ada ya paund laki 127000 kama ada ya uhamisho tu. lakini kwa upande wake kocha huyo ametia baraka katika uhamisho huo kwani amesema reina yuko free kuondoka kama akiwa tayar hii baada ya liverpool kumsainisha kipa tegemeowa sundeland
No comments:
Post a Comment