Mchezaji machachari wa man utd na timu ya taifa ya uingereza wyne rooney hatimaye ameanza mazoezi na timu yake ya manchester united kujiandaa na michuano mbalambali msimu ujao. rooney amekuwa katika tetesi za kuondoka clubini hapo na kuamia arsenal au chelsea ambazo zina muhitaji, hii baada ya rooney mwenyewe kuhitaji kuondoka baada ya kocha wake kustaafu na kuja kocha ambaye inasrmekana hana maelewano mazuri tangu alipokuwa everton.
No comments:
Post a Comment