Baada ya mashabiki kumtaka wenger asajili kutokana na kipigo walichopata kwenye mchezo wakwanza wa ligi kuu ya england jana usiku waliwashushia kipigo waturuki baada ya kuwapiga mabao matatu kwa moja katika mchezo wa play off wa mabingwa ulaya kugombania nafasi ya kupanwa kwenye makundi
Baola kwanza lilipatikana kupitia kwa bki wa kushoto keran gobbs na baadaye aoron ramsey, na kisha olivier giroud kumalizia msumali wa mwisho.
No comments:
Post a Comment