Ilichukua dakika ya 6 tu mchezaji wa aston villa luna kujifunga baada ya presha kubwa kutoka kwa washambuliaji wa chelsea waiongozwa na demba ba.
baada ndani ya dakika tano mshambuliaji wa aston villa shristian benteke alisawazisha na kufikisha idadi yamagoli matatu hadi sasa
.
baada ya kwanda mapumziko chelsea wairudi kwa kasiya ajabu na mnamo dakika ya 73 beki mwenye uchu wa kufunga blanislav ivanovic aliiandikia chelsea bao la pili.
na hadi mwisho chelsea kuibuka na ushindi wa bao mbili kwa moja.
No comments:
Post a Comment