Friday, August 30, 2013

ATHLETIC BILBAO WAKATAA OFA YA MANCHESTER UNITED

Timu inayoshirii ligi kuu ya hispania leo mchana wamekataa ofa ya eoru 25.5m kwa manchester united kumsajili mchezaji wao ander herrera.

mwa mujibu wa mwenyekiti wa athletic bilbao amesema lengo letu kubwa ni kutengeneza pesa lakini sio kila kiasi cha pesa tu kwani wana hitaji hela kuendana na mchezaji alivyo kwa hiyo mtu kama herrera hana thamani hiyo kwani  ni ndogo nakwa mujibu wake amesema kwamba mchezaji huyo anaweza kuondoka bilbao kwenda the red devils kama wakitoa kiasi cha euro 36.5m  hadi 30.7 millioni na singivenevyo.

Manchester united walituma ofa hiyo jana usiku.

No comments:

Post a Comment