Kiungo mshambuliaji raia wa ghana kelvin prince boateng hatimaye amesaini katika club ya schalke 04 ya uerumani akitokea ac milan.
Kwa mujibu wa general maneger wa timu hiyo ya ujerumani horst holdt amesema kwamba leo hii mchezaji huyo amesaini na wanatarajia avae jezi namba 9 mgongoni ili kuongeza makali ya safu ya ushambuliaji ndabi ya timu hiyo.
No comments:
Post a Comment