Sunday, September 1, 2013

CELTIC WAZUNGUMZA NA MANCHESTER UNITED KUMTWAA BUTTNER KWA MKOPO

Timu ya glascow celtic ya scotland wapo mazungumzoni na manchester  united kuhusu uhamisho wa beki wa kushoto wa timu hiyo bettner.

Hyo yamethibitishwa na wakala wa mchezaji huyo raia wa uholanzi kuhusu uhamisho huwo hasa baada ya kuona kwamba uwezekano wa kuaa bechi kuwepo kutokana na urejeo wa fabio na kuhusu tetesi za kusajiliwa baines kutoka everton.

No comments:

Post a Comment