Habari kutoka katika clubu ya manchester leo asubuhi ni kwamba wyne rooney atakuwa nje katika mchezo unaouwakabili dhidi ya mahasimu wao wakubwa liverpool leo baadae.
Kwa mujibu wa kituo kimoja chahabari za michezo skysport wamethibitisha swala hili na rooney atakuwa nje katika mchezo wa leo, baada ya kujigonga kichwani akifanya mazoezi na timu yake.
No comments:
Post a Comment