Thursday, August 8, 2013

FABREGAS AIKATAA MAN UNITED RASMI

Kiungo wa zamani wa arsenal cesc fabrigas hatimaye amebainisha rasmi kwamba hana mpango wa kuihama timu yake na hatarajii kwa sasa kwa kuwa ana amani na anaipenda timu yake ya barcelona na anashangaa man united kumtaka.

No comments:

Post a Comment