mshambuliaji hatari ,mwnye chenga za maudhi gervinho hatimaye ametimkia italia katika klabu ya as roma kwa ada isiyojulikana , gervinho ameeondoka baada ya kuona kutopata nafasi katika klabu ya arsenal na kwenda italia kujaribu bahati yake katika soka
No comments:
Post a Comment