Friday, August 23, 2013

KAPOMBE ATAMBULISHWA RASMI AS CANNES

Kijana mahiri mwenye kujituma akiwa uwanjani na hasa timu yake ikifungwa shomari kapombe hatimaye jana jioni ametambulisha rasmi na timu yake mpya as cannes ya ufaransa.

Timu hiyo ambayoinashiriki ligi daraja la nne nchini humo imemsajili mchezaji huyo anayetokea simba kwa muda wa miaka mimwili.
Kitu chakufanya kwa watanzania ni kumuombea mafaniio katika safari yake hiyo kwani club hiyo ipo kifedha zaidi endapo mchezaji akitakiwa na timu kubwa kwani timu hiyo ndio iliyomtoa gwiji la soka la ufaransa zinedine zidane na wengineo.

No comments:

Post a Comment