Baadhi ya wachezaji wa simba wakifuatilia semina..
Wadhamini wa clubu ya simba kilimanjaro premium lager leo wamewafanyia semina maalum viongozi,wachezaji na benchi la ufundi la club ya simba ili kupanga mikakati itakayoinufaisha clubu hiyo
semina hiyo ilikuwa ikiendeshwa na meneja wa kampuni hiyo ya bia geoge kavishe.Tunatumaini semina hiyo itakuwa ya mafanikio katoka siku zakaribuni kwenye club hiyo.
No comments:
Post a Comment