Hatimaye club ya chelsea imesema kwamba ili kumtwaa luiz club yeyite lazma itoe kiasi cha pauni million 43 ili kumtwaa beki huyo. wakati huohuo beki wa barcelona danni alves amesema kwamba itakuwa faraja kubwa kwake endapo luiz akijiunga na barcelna.
No comments:
Post a Comment