Tuesday, August 6, 2013

SOLDADO AJIUNGA RASMI TOTENHAM

Mshambuliaji wa valencia mspanish robato soldado hatimae jana ame mwaga wino katika club ya totenham hotspurs baada ya kuwa katika tetesi muda mrefu. ii inamfanya awe mshambuliaji wa pili ukiacha adebayor ambaye kutokana na ali ilivyo anaweza kuondoka muda si mrefu.

No comments:

Post a Comment