Tuesday, August 6, 2013

MWINYI KAZIMOTO AILIPA SIMBA $40000 KUKATIZA MKATABA WAKE

Mchezaji alietorokea qatar bila ya ruhusa ya timu yake ili kutafuta timu ya kuchezea nchi za nje kiungo mwinyi kazi moto  hatimaye ameonyesha kitendo cha kishujaa baada ya kuwalipa simba ili apate nafasi ya kucheza huko qatar.
Akizungumza kutoka qatar amebainisha maneno hayo iliapate chance hiyo lakini cha kushangaza viongozi wa simba wanasema wamepokea $35000 tu.kwa hiyo mwinyi kazimoto amepata timu ambayo amesaini nayo mkataba wa mwaka mmoja na kumaizia kwa kuomba msamaha kwa washabiki wote wa taifa stars na simba kwa kitendi alichofanya.
Natumaini mashabiki wote watamsamehe na kumuombea dua katika safari yake hiyo.

No comments:

Post a Comment