Tuesday, August 27, 2013

TOTTENHAM WAKUBALI DILI LA MADRID KUMNYAUWA BALE

Timu ya soka ya totenham imethibitisha kwamba real madrid wamekubali na kusema kwa,mba wapotayari kumwachia nyota huyo kwa paun million 100 ili kuvunja rekodi ya dunia.

Hayo yamebainishwa jana bada ya kuulizwa na waandishi wa habari na mkurugenzi mkuu wa timu hiyo katika press conference kuhusu maswala ya usajili katoka timu hiyo.

Hata hivyo real madrid hawakupoteza kitu kwani mchezaji kama bale ni mchezaji ambaye anaweza kucheza nafasi nyingi uwanjani  na kusababisha matokeo mazuri ndani ya mechi husika

No comments:

Post a Comment