Thursday, August 22, 2013

TOTTENHAM WAKUBALIANA NA WILLIAN

Kungo mshambuliaji kutoka brazil aliye watesa chelsea mwaka jana katika ligi ya mabingwa ulaya willian anatarajiwa muda wowote kusaini tottenham ya uingereza baada ya kukubaliana na mchezaji huyo anaechezea anzi ya urrus.
Tottenham itakuwa ya kwanza kwa usajili mwaka huu baada ya kusajili wachezaji wengi na wanaojulikana kama paulinho,couple, n soldadona kama ikimsajili willian itafikisha paundi million 90 kwani willian anahitaji 30m. na tayari wameshatumia 60m.
Hata hivyo timu hiyo itarudisha fedha hzo kupita kwa gareth bale anaetakiwa na muda wowote atatua ndani ya santiago bernabeu kwa  paundi million 90.

No comments:

Post a Comment