Saturday, August 24, 2013

USAJILI SIMBA UTATA MTUPU

Wakati ligi kuu ya bara inatarajiwa kuanza jioni ya leo ya rarehe 24 augost ,club ya simba inatatizo kubwa la usajili kutokana na wachezaji waliowasajili kwa ajili ya msimu huu.

Kuna baadhi ya wachezaji kutoka nje ya nchi kama vile hashim tambwe na kize, kutoka burundi  badaja pata  mpaka sasa hawajapata ict kama kibali cha kufanyia kazi ndani ya tanzania na mwingine ni mshambulaji mrefu mombeki naye ana ugogoro kutoka timu ya pamba kulalamika kuhusiana na usajili huo wa simba walioufanya.

Wakati huohuo simba tayari ipo tabora kwa ajii ya mchezo wao wa ufunguzi dhidi ya Rhino ya mjini hapo, na kwa mujibu wa msemaji wa timu hiyo kwamba wachezaji wote wako fiti na wapo tayari kwa mchezo huo na kuwahidi kuondoka na point tatu.
 mshambuliaji mombeki akishangilia moja ya goli alilokuwa ameshawahi kuwafungia simba katika mechi za majaribio kujiandaa na ligi kuu.

No comments:

Post a Comment