Timu mbili za man united na everton zote za england hatimaye muda mchache uliopita wamekubaliana dili la usajii wa marouane fellaini kwanda manchester united kwa ada ya auni millioni 24,vilevile mchezaji mwingine wa timu ya everton leon osman amebainisha keamba karibu fellaini na baines watakuwa wachezaji wa manchester united.
No comments:
Post a Comment