Kocha na manager wa manchester united david moyes amesema kwamba hana wasiwasi wowote hata kama sija sajili mchezaji mpya ili kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho.
Hayo aliyasema jana baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya liverpool na kufungwa bao moja nila majibu kwa mba hana presha na kikosi chake na ana imani nacho kwa kuwa kina wachezaji wengi na wachanga katika kiwango cha dunia licha ya kupoteza mechi yetu dhidi ya liverpool kwani timu ilicheza vizuri na haikuwa bahati yetu.
Hayo maneno ya usajili aliyasema baada ya kuulizwa kuhusu kufungwa kwa dirisha la usajili hivi leo na hakuna taari yeyote ilyokuwa inaelezea kukamilika kwa usajili dhidi yake.
No comments:
Post a Comment